Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Msikiti Mzuri umejengwa huko nchini Uzbekistan ukiwa na vyumba 30 vilivyodizainiwa kwa Aya Tukufu za Qur'an. Aya hiyo Tukufu za Qur'an zinaonekana zikiwa zimedizainiwa kwa uzuri kabisa kwenye ukuta wa kila chumba, ambapo juzuu kamili (ya Qur'an) imechorwa kwa maandishi mazuri na yenye kuonekana kwa uwazi.
Msikiti huu umeundwa kwa namna ambayo inamuwezessha kila mtu anayeketi ndani yake katika chumba chochote, aweze kusoma Aya za Qur'an kwa urahisi.
Your Comment