Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Leo Alkhamisi, Tarehe 10 Aprili 2025, Tukio la kipekee lilitokea ambapo Al_Itrah Foundation Dar-es-Salaam - Tanzania, ikiwakilishwa na Bw. Khomeini Ruhullah, ilimkabidhi Tafsiri ya Kiswahili ya Qur'an Tukufu ya Sheikh Hassan Ali Mwalupa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Samahat Sheikh, Dkt. Alhadi Mussa Salum.
Hii ni zawadi ya kimaanawi kwa Samahat Sheikh iliyosheheni Elimu na Maarifa, Umoja wa Imani, na Muongozo wa Kiroho kwa Waumini, kama alivyosema Mwenyezi Mungu: "Kitabu Hicho Hakina Shaka ndani yake, ni Muongozo kwa Wacha Mungu.
Your Comment