11 Aprili 2025 - 02:05
Mahusiano ya Kijamii ya Kituo cha Utamaduni cha Iran Nchini Tanzania - Dar-es-salaam

Kituo cha Utamaduni cha Iran kipo tayari kutoa Ushirikiano katika nyanja za Utamaduni na Elimu.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mkutano kati ya Dkt. Maarefi na Bw. sibtain, Mkurugenzi wa The Desk & Chair Foundation ya Jijini Mwanza.

Bw. Sibtain amekuwa akitoa usaidizi na ushauri wa kila siku kwa wale wanaohitaji kwa zaidi ya miaka 40 katika nyanja mbalimbali zikiwemo elimu, afya, na masuala ya kijamii na kiuchumi. Kwa msaada wa wafadhili, anafanya kila awezalo kutatua matatizo yao.

Mahusiano ya Kituo cha Utamaduni cha Iran Nchini Tanzania - Dar-es-salaam

Katika mkutano huo, Dakta Maarefi alisema kuwa Kituo cha Utamaduni cha Iran kiko tayari kutoa ushirikiano katika nyanja za utamaduni na elimu.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha