10 Mei 2025 - 16:13
Mwito wa Rehema | Tilawa Tukufu ya Qur'an kutoka kwa Wasomaji Bingwa wa Qur’an wa Iran na Tanzania + Dar-es-Salam, Mnazi Mmoja

Ni tukio la kujifunza ujumbe wa rehema kupitia mwangaza wa Qur'an Tukufu.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA -  Mwito wa Rehema - Mkusanyiko Mkubwa Katika Nuru ya Qur'an -  Tarehe: Jumamosi, 25 Mei. Muda: Saa 3:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana. Mahali: Uwanja Mkubwa wa Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, Tanzania. Karibu ujiunge nasi katika tukio hili maalum la kiroho, lenye Mawaidha, Tilawa ya Qur'an kutoka kwa Wasomaji Mahiri, Bingwa na Mashuhuri wa Qur'an Tukufu kutoka nchini Iran na Tanzania. Ni tukio la kujifunza ujumbe wa rehema kupitia mwangaza wa Qur'an Tukufu.

Mwito wa Rehema | Tilawa Tukufu ya Qur'an kutoka kwa Wasomaji Bingwa wa Qur’an wa Iran na Tanzania

Nyote mnakaribishwa  — Wanawake, Wanaume, na Vijana — Usikose!

Your Comment

You are replying to: .
captcha