19 Machi 2011 - 20:30

Mama mmoja Muingereza aliekubali Uislamu na kuchagua hijabu kuwa vazi lake, kila siku njiani audhiwa na kufanyiwa maskhara yeye na Watoto wake kwa kuvaa kwake hijabu.

Ripoti ya shirika la ha bari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Trisy Shah Mwanamke aliekubali Uislamu hapa karibuni kila siku anapo wapeleka Watoto Shuleni uudhiwa na kufanyiwa maskhara kwa kuwa yeye alichagua vazi la hijabu.

Alieleza Mama huyu Muingereza vyombo vya habari kuwa; kila siku anapo wapeleka Watoto Shuleni uudhiwa na kufanyiwa maskhara kwa kuwa alichagua hijabu kuwa vazi lake.

 Trisy Shah mwenye Umri wa miaka 31 aishi katika Mkoa wa Shipley Uingereza na katika mwezi wa February 2012 ndio alieleza kuwa wakazi wa Mkoa huo wamfanyia maudhi kwa kuchagua kwake kuvaa hijabu.

Mama huyu mwenye Watoto wa 3 mwaka 2003 alislimu yeye na mumewe, ila la kusikitisha ni kwamba Mama huyu  kila mahala anapopita hutupiwa na kurushiwa Maji ya Machungwa madirishani, na ndani ya Bus, au kutukanwa na kuudhiwa kwa sababu uvaaji wake hijabu.

UMMA WA KIISLAMU HASA AKINA MAMA TUMEANDAA MAZINGIRA GANI YA UISLMU WETU KUTOKANA MAADUI WA UISLAMU?!!

JE?! MAMA HUYU ANA KOSA GANI ALOFANYA ANYIMWE HAKI ZAKE NA KUMFANYIA  ADHIA?!! WANAWAKE  TUWE MACHO  KWANI MAADUI  WA UISLAMU LENGO LAO NI KWETU SISI.