6 Novemba 2014 - 04:04
Jeshi la Syria laua magaidi 41

Jeshi la Syria limewaua magaidi 41 na kujeruhi wengine wengi katika katika mji wa Rayful adlab.

Jeshi la Syria limewaua magaidi 41 na kujeruhi wengine wengi katika katika mji wa Rayful adlab.
Katika oparesheni hi, jeshi la Syria likishirikiana na makomando wa Hizbullah wamefanikiwa kuangamiza kambi kadhaa za magaidi hao,pia wameteka sehemu ambazo magaidi hao walikuwa wakihifadhi silaha zao.
pia kumeripotiwa kuuawa magaidi wa Jabharu nasr kumi na wanane katika kitongoji cha Balyun, mji wa Rayful adlab.
ni muhimu kuashiria kuwa jeshi la Syria limekuwa likikabiliwa na hujuma za magaidi tangu mwaka 2011.

Tags