-
Dr. Ali Taqavi: Mabinti wa Kiislamu Wanapaswa Kuwa Nuru Inayong’aa Katika Jamii ya Kitanzania
Ziara hii imelenga kuimarisha hamasa ya kielimu, kuunga mkono juhudi za walimu na wanafunzi, pamoja na kuonyesha sapoti na mshikamano mkubwa wa Uongozi wa Jamiat Al-Mustafa (s) kwa taasisi zake zote za Sayansi ya Kiislamu ndani na nje ya Tanzania.
-
Jamiat Al-Mustafa (s) - Dar-es-salaam | Kikao cha Kielimu cha Tiba: Dkt. Ali Memari Aendeleza Mafunzo ya Afya Binafsi na Kijamii
Aidha, alisisitiza juu ya umuhimu wa kinga ya magonjwa kwa kupitia mtindo bora wa maisha, lishe yenye usawa, na ufuatiliaji wa mara kwa mara wa afya
-
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa jukumu la UNIFIL nchini Lebanon hadi mwisho wa mwaka 2026.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeamua kuongeza muda wa jukumu la wanajeshi wa UNIFIL kusini mwa Lebanon kwa mara ya mwisho.
-
Watu zaidi ya 100 watekwa katika shambulio la kikatili Kaskazini mwa Nigeria
Katika shambulio la damu lililotokea katika kijiji cha Ghamdum Malam katika jimbo la Zamfara, Nigeria, watu wenye silaha waliingia eneo hilo kwa risasi zisizo na mwelekeo na kuwateka zaidi ya watu 100.
-
Waalawi wa Syria baada ya kuanguka kwa Serikali ya Bashar al-Assad / Kuanzia kuwa pembezoni mwa siasa hadi kudai mfumo wa muungano (Federalism)
Baada ya kuanguka kwa serikali ya Bashar al-Assad mwezi Desemba 2024, jamii ya Waalawi wa Syria ilikumbwa na wimbi la vitisho vya kiusalama, kiuchumi na kisiasa. Kama jibu kwa hali hiyo, viongozi wa kidini na kisiasa wa kundi hili walianzisha baraza mbalimbali kwa lengo la kutetea haki za Waalawi na kufasili upya nafasi yao ndani ya muundo wa kisiasa wa Syria ya baadaye.
-
"Hamid al-Shatari", Mkuu wa idara ya ujasusi ya Iraq, amekutana na "Abu Muhammad al-Julani", Mkuu wa Serikali ya mpito ya Syria
Aidha, mkuu wa ujasusi wa Iraq alitembelea ubalozi wa Iraq ulioko Damascus na kukutana na kaimu balozi wa Iraq.
-
Maafisa wa Kiyemeni katika mazungumzo na Abna:
"Madai ya Israel ni udanganyifu na kupindisha mambo ili kufidia udhaifu katika uwanja wa mapambano / Msaada kwa Gaza hautasitishwa"
"Abdulaziz al-Bakr", Katibu Mkuu wa chama cha "Ujamaa wa Kitaaluma wa Kiyemen" na "Hizam al-Asad", mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen, katika mazungumzo na shirika la habari la Abna wamesisitiza kuwa: Kila shambulio linalolenga raia wasio na hatia huko Sana'a linageuka kuwa mafuta ya ziada kwa ajili ya harakati ya mapambano ya wananchi wa Yemen.