Mmoja
-
Kifo cha kikatili cha mmoja wa wanachama wa ISIS huko Baghdad
Mahakama ya Jinai ya Al-Karkh huko Baghdad leo imetoa hukumu ya kifo kwa mmoja wa wanachama wa kikundi cha kigaidi cha ISIS.
-
Mkutano wa Wanafunzi wanaoongea Lugha ya Kiurdu Wanaokaa Mjini Qom - Iran; katika Kumbukumbu ya Mwaka wa Shahada ya Sayyid Hassan Nasrallah
Hujjatul-Islam Fakhrian aliandika mada yake kwa kuanzia na nukuu ya Kiungu (alirejea aya za Quran) na kutangaza kuwa: azma ya Mwenyezi Mungu ni kuwapa walio dhaifu nafasi ya kuwa waanzilishi na warithi wa dunia; azma hiyo inatimia kwa njia moja tu — kupitia mapambano na kujitolea. Kwa hivyo, alisisitiza, hakuna njia nyingine ya kuangusha mfumo wa udikteta wa kigeni isipokuwa kupitia mapambano.
-
Madaktari Wasio na Mipaka: Takriban watu 82,000 wamelazimika kukimbia makazi yao kutokana na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Lebanon
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka limetangaza kuwa mgogoro wa kibinadamu nchini Lebanon haujaisha hata baada ya mwaka mmoja tangu vita, na zaidi ya watu 82,000 bado ni wakimbizi wa ndani. Ukiukaji unaoendelea wa Israel unazuia watu hawa kurejea makwao.
-
Madai ya Ukinzani kati ya Fitra ya Upweke wa Mungu (Tawhidi) na Uwepo wa Ushirikina na Miungu Mingi
Chanzo: Kituo cha Kitaifa cha Majibu ya Maswali ya Dini | Swali: Ikiwa Binadamu wote wana Fitra moja ya kumpwekesha Mungu na Manabii (as) daima wamekuwa wakiwaita watu katika ibada ya Kumuabudi Mwenyezi Mungu Mmoja, basi kwa nini katika historia, jamii nyingi kama Waarian wa kale au Wahindu walipata kuangukia kwenye ushirikina na ibada ya miungu mingi? Je, jambo hili si kinzani na madai ya kidini (juu ya Fitra ya Mwanadamu kuwa ya kumpwekesha Mwenyezu Mungu)?.
-
Ripoti ya Mahudhurio ya Wasomaji wa Qur'an wa Programu ya "Mahfali" nchini Tanzania
Katika hafla hii Tukufu ya Qur’an, wasomaji wa Kiirani walioshiriki ni pamoja na Ustadh Shakernejad, Ustadh Abolghasemi, Qari kijana Mohammad Hossein Azimi, na Muhanna Ghanbari – ambaye ni mhifadhi wa Qur’an nzima.