wasichana
-
Mabanati wa Madrasa ya Hazrat Zainab (sa) - Kigamboni, Dar-es-salaam, Wapatiwa Vyeti vya (ICDL) Baada ya Kukamilisha Kozi hiyo ya Mafunzo ya Kompyuta
Tunawapongeza waalimu waliowafundisha wasichana hawa wa Kiislamu kwa bidii na uaminifu, na pia Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Jamiatul Mustafa (s) - Tanzania, Hojjatul Wal Muslimin, Dr.Ali Taqavi aliyekuja na wazo hili muhimu na kulisimamia kwa hekima na juhudi kubwa.
-
Mkutano wa Mrs.Taqavi, Mudira wa Hawzat ya Wasichana ya Hazrat Zahra (s.a) na Wanafunzi wa Hawzat hiyo
Mkutano ulimalizika kwa mipango ya kuimarisha ushirikiano kati ya Wanafunzi na Walimu.
-
Tabligh - Tanzania:
Baadhi ya harakati za Kidini za Taasisi ya Kiislamu ya S.D.O - Bukoba, Tanzania
Kwa mtu yeyote, anayetaka thawabu na malipo mema toka kwa Allah (s.w.t), kupitia kusapoti na kusaidia Harakati hizi za Kidini za S.D.O Bukoba, Tanzania, basi anakaribishwa na mlango upo wazi.
-
Maafisa wa Umoja wa Mataifa: Wasichana wa Afghanistan Wanapaswa Kurejea Shuleni
Mkurugenzi mtendaji wa Idara ya Umoja wa Mataifa ya Wanawake, akizungumzia kuendelea kupigwa marufuku kwa elimu ya wasichana wa Afghanistan, amesema kuwa wasichana katika nchi hii wanapaswa kurejea shuleni haraka iwezekanavyo.