29 Machi 2025 - 22:21
Umuhimu wa Tabligh, Malengo na Mipango ya Jamiatul - Mustafa (S) nchini Tanzania

Jamiatul - Mustafa ipo tayari kusaidia na kushirikiana na wanaofanya kazi ya kufikisha Ujumbe, Elimu na Maarifa ya Ahlul_Bayt (a.s).

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA-; Mwakilishi wa Jamiatul Mustafa (s.a.w.w), Dar-es-salaam - Tanzania; Sheikh Dkt. Ali Taqavi, leo hii ametembelea Husseiniyyah ya Qamar Bani Hashim iliyoko Ulongoni B, Dar-es-salaam - Tanzania, chini ya Uongozi na Usimamizi wa Al-Muhataram Salum Bendera.

Umuhimu wa Tabligh, Malengo na Mipango ya Jamiatul - Mustafa (S) nchini Tanzania

Mudir wa Husseiniyyah, al-Muhtaram Salum Bendera alitoa maelezo kwa muhtasari kuhusiana na shughuli na Harakati za Husseiniyyah pamoja na changamoto wanazokabiliana nazo. 

Umuhimu wa Tabligh, Malengo na Mipango ya Jamiatul - Mustafa (S) nchini Tanzania

Aidha, Mkuu wa Jamiatul - Mustafa (s.a.w.w) - Tanzania, alibainisha umuhimu wa Tabligh na malengo na mipango ya Jamiatul - Mustafa ya kusaidia na kushirikiana na wanaofanya kazi ya kufikisha Ujumbe, Elimu na Maarifa ya Ahlul_Bayt (a.s).

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha