Maarifa
-
Jamiat Al-Mustafa Tanzania Yaendelea Kuimarisha Taaluma Kupitia Mitihani ya Majaribio ya Kila Wiki
Jamiat Al-Mustafa Tanzania yaendelea kuimarisha taaluma kupitia mtihani wa majaribio wa kila wiki unaofanyika kila Jumamosi, ikiwa ni sehemu ya tathmini endelevu ya maendeleo ya wanafunzi.
-
Sheikh Swaleh Abdur-Rahman Aeleza Wasia wa Imam Ali (as) Kuhusu Mambo Matano Muhimu Katika Maisha
Sheikh Swaleh Abdur-Rahman, katika Khutba ya Swala ya Ijumaa ya Jamiat Al-Mustafa – Tanzania, ameeleza wasia wa Imam Ali (as) unaosisitiza kumtegemea Mwenyezi Mungu, kumuogopa mtu dhambi yake, kusema “sijui” pale asipojua, kujifunza na kuwa na subira.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IRNA: Sehemu ya Migongano ya Dunia Leo Inaendeshwa Kupitia Vita vya Maarifa na Simulizi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRNA), Hussein Jaberi Ansari, amesema kuwa vyombo vya habari vimekuwa nguzo muhimu ya nguvu, ushawishi na hata usalama wa taifa, huku akisisitiza kuwa sehemu kubwa ya migongano ya dunia inaendeshwa kupitia vita vya kiakili na mapambano ya simulizi.
-
Profesa wa Chuo Kikuu cha George Washington: Iran haiwezi kushindwa kutoka angani / Mabomu hayawezi kuangamiza maarifa na teknolojia
Sina Ozodi, Mwalimu Msaidizi wa Chuo Kikuu cha George Washington, Akosoa na Kuchambua Sera za Rais Donald Trump
-
Darsa za Kielimu na Maarifa | Mafunzo ya Ahlul-Bayt (a.s) Yaendelea kuwaangazia Waumini Kila Alhamisi Mjini Moshi +Picha
Kupitia mihadhara hii, waumini hupata fursa ya kujifunza misingi ya itikadi, maadili ya Kiislamu, na mwongozo wa maisha unaojengwa juu ya haki, uadilifu na kumcha Mwenyezi Mungu.
-
Adabu Muhimu Miongoni mwa Adabu za Kusoma Qur’an Tukufu
Qur’ani si kitabu cha kusomwa kwa macho na kufahamika kwa fikra pekee. Qur’ani ni minong’ono ya Mola kwa nyoyo zilizo na masikio ya roho. Adabu ya tilawa si sura za nje tu; adabu ya kusoma Qur’ani ni kutambua kuwa umeingia katika uwepo wa Allah, na kwamba kila aya ni pumzi kutoka kwa Mola wa walimwengu, na wewe ndiye unayeambiwa.