Kushindwa kwa Marekani katika kukabiliana na Yemen na gharama inaweza kuzidi Dola Bilioni moja + Video
4 Aprili 2025 - 21:38
News ID: 1546750
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Maafisa wa Pentagon wamekiri kwamba uadui na uchokozi wa Marekani dhidi ya Yemen umeishia kupata "mafanikio machache" tu katika kupunguza safu kubwa ya silaha za vikosi vya kijeshi vya Yemeni, ambapo silaha nyingi ziko chini ya ardhi na kwenye jiografia ya ardhi yenye milima.
Your Comment