Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Uwezo wa kuthamini na kuheshimu vipengele vyote viwili vya Imani na Mila (Utamaduni) vinavyokwenda sambamba, unaangazia kubadilika kwa kina kwa jamii ya Iran, na kutoa kielelezo cha jinsi Mila (Tamaduni) zinavyoweza kubadilika huku zikiwa zimekita mizizi katika kuheshimu Turathi za Kidini na Kitamaduni.
Nyakati kama hizo hutoa somo muhimu katika kuishi pamoja Kitamaduni na kwa utangamano wa Kidini, na hili sio kwa Wairan tu, bali ni kwa Jamii ya Kimataifa.
Your Comment