Walimu ni Walezi na Wazazi Bora kuliko Wazazi wote, maana wanakaa na Watoto masaa Mengi kuliko wanavyokaa majumbani mwao + Video
12 Aprili 2025 - 01:27
News ID: 1548471
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Mwenyekiti wa Taasisi ya "The Desk And Chair Foundation" ya Jijini Mwanza, Alhaj, Dkt. Sibtain Megji, amewapongeza waalimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bwiru kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuwaelimisha Watoto wa Kike na kuwandaa kwa ajili ya maendeleo yao ya baadae. Aidha, ameipatia Shule hiyo msaada wa Madawati zaidi ya Mia Moja. @Chanzo cha Habari: IBN TV
Your Comment