Tajarma ya Aya Tukufu ya 260, katika Surat Al_Baqarah:
"إِذْ قَالَ إِبْرَاهِيمُ رَبِّ أَرِنِي كَيْفَ تُحْيِي الْمَوْتَىٰ ۖ قَالَ أَوَلَمْ تُؤْمِن ۖ قَالَ بَلَىٰ وَلَٰكِن لِّيَطْمَئِنَّ قَلْبِي ۖ قَالَ فَخُذْ أَرْبَعَةً مِّنَ الطَّيْرِ فَصُرْهُنَّ إِلَيْكَ ثُمَّ اجْعَلْ عَلَىٰ كُلِّ جَبَلٍ مِّنْهُنَّ جُزْءًا ثُمَّ ادْعُهُنَّ يَأْتِينَكَ سَعْيًا ۚ وَاعْلَمْ أَنَّ اللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ".
"Na Ibrahim aliposema: Mola wangu! Nionyeshe jinsi unavyofufua Wafuasi. (Mwenyezi Mungu) Akasema: Huamini?!. Akasema: Kwa nini (naamini)!. Lakini ili utulie Moyo wangu. Akasema: Basi chukua Ndege wanne na uwakusanye kisha (uwachinje), uweke juu ya kila jabali sehemu katika wao. Kisha waite, watakujia mbio. Na jua kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye Hekima".
Your Comment