15 Aprili 2025 - 18:02
Dr. Ali Taqavi, Mwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa (S) - Dare-es-Salam, Tanzania,  katika Mkutano muhimu na Mh.Mufti wa Zanzibar, Sheikh Saleh Kaabi

Kufanyika kwa Hafla ya Qur'an Tukufu ndani ya Zanzibar kwa ushirikiano baina ya Jamiat Al-Mustafa - Dares-Salam - Tanzania na BAKWATA

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Dr. Ali Taqavi, Mwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa (s) - Dare-es-Salam, Tanzania, amefanya Mkutano muhimu na Mheshimiwa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kaabi, uliohusiana na suala la kuendeleza shughuli za Qur'an Tukufu, Zanzibar.

Dr. Ali Taqavi, Mwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa (S) - Dare-es-Salam, Tanzania,  katika Mkutano muhimu na Mh.Mufti wa Zanzibar, Sheikh Saleh Kaabi

Katika Mkutano huu wa pamoja wa Qur'an walijadili pia juu ya kufanyika kwa Hafla ya Qur'an Tukufu ndani ya Zanzibar kwa ushirikiano baina ya Jamiat Al-Mustafa - Dares-Salam - Tanzania na BAKWATA. 

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha