"Ukitaka kujua ukweli wa mtu, basi tizama ni jinsi gani anavyowatendea wale waliodhaifu kwake"
21 Aprili 2025 - 17:42
News ID: 1551101

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as.) - ABNA - Samahat Sheikh Hemed Jalala, Mudir wa Hawzat Imam Sadiuq (a.s) - Kigogo - Post na Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithna Ashari Tanzania (T.I.C), amekumbusha umma wa waislamu kuzingatia kuwatendea wema watu hasa wale waliodhaifu, na kuhakikisha kwamba hakuna mtu yeyote anayedhulumiwa na kutendewa ndivyo sivyo. Uislamu unalingania wema na haki kwa watu. Katika maneno yake mafupi na yenye hekima, amesema: "Ukitaka kujua ukweli wa mtu, basi tizama ni jinsi gani anavyowatendea wale waliodhaifu kwake"
Your Comment