15 Juni 2025 - 16:34
Video na Picha | Sherehe ya Ndoa katika Sikukuu ya Eid al-Ghadir huko Bamyan

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul Bayt (as) -ABNA-, sherehe ya ndoa ya umati ya wanandoa 16 wa Kishia imefanyika katika Seminari ya Imam Sadiq (AS) katika Mji Mkuu wa Mkoa wa Bamyan kwa Mnasaba wa Eid al-Ghadir kwa lengo la kuendeleza ndoa kwa urahisi.

Your Comment

You are replying to: .
captcha