14 Juni 2025 - 23:52
Wimbi la Makombora ya Iran Limelenga Ngome za Israel

Mashambulizi haya ya makombora ya balestiki yamesababisha hali ya taharuki kubwa, huku ving’ora vya hatari vikipigwa kote katika maeneo ya utawala huo ghasibu.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la AhlulBayt (a.s) –ABNA– vyombo vya habari vya Kiyahudi vimeripoti mashambulizi makubwa ya makombora ya masafa marefu yaliyovurumishwa kutoka maeneo mbalimbali ya Iran kuelekea maeneo tofauti ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni.

Mashambulizi haya ya makombora ya balestiki yamesababisha hali ya taharuki kubwa, huku ving’ora vya hatari vikipigwa kote katika maeneo ya utawala huo ghasibu.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha