Waziri wa mambo ya nje wa China Hong Lei alisema " siku zote tumekuwa tukipinga vitendo vya kutishia vita dhidi ya Iran"waziri huyo ameonyesha wasiwasi wake juu ya hujuma yeyote dhidi ya Jamuri ya kiislamu ya Iran kwani radiamali ya Iran itasasabisha moto usio zimika.Onyo hili kutoka serikali ya China,limekuja baada ya baadhi ya viongozi wa siasa wa Marekani kudai kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Jamhuri ya kiislmu ya Iran kwa kitendo chake cha kuendeleza mradi wa kinyuklia.Hata hivyo serikali ya Iran imehaidi kuwa nchi yoyote itakayojidanganya kuishambulia Iran isubiri mashambulizi mazito yasiyo tabirika.
19 Machi 2011 - 20:30
Msimbo wa Habari: 297830
ABNA inatuhabarisha kuwa:Serikali ya China imepinga kitendo chochote cha mashambulizi dhidi ya Iran kwani kutasababisha hasara kubwa katika ukanda wa mashariki ya kati.