Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema kuwa vikundi vya wapiganaji wa kiislamu wa dhehebu la Sunni wanapata msaada wa kutoka Sauda Arabia na Qatar.
Hassan Rohani aliendelea kusema kwamba: vikundi vya wapiganaji vinavyo dhaminiwa na nchi hizi, kuna siku vita geuka na kuanzisha vita dhidi ya nchi hizi.
Akizungumza katika kongamano moja la kidini mjini Tehran, bwana Rohani amelalamika kuhusu tofauti inayoendelea kuibuka kati ya raia wa kishia na wenzao wa kisuni huko Iraq akisema kuwa hiyo ni kazi ya Israel.
yafaa kuashiria kwamba: kikundi cha Daesh kinachopambana nchini Iraq na Syria, kina washawishi waislamu wa dhehebu la Sunni, waungane nao na kupambana na waislamu wa dhehebu la Shia, ambao ndio wengi nchin Iraq, na hatimaye mapigano haya kuhama katika sura ya kisiasa na kuhamia katika sura ya mapambano ya kidini.
22 Juni 2014 - 14:08
News ID: 618053

Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema kuwa vikundi vya wapiganaji wa kiislamu wa dhehebu la Sunni wanapata msaada wa kutoka Sauda Arabia na Qatar.