Jiji la Tanga
-
Tanga | Sheikh Mkuu wa T.I.C Sheikh H. Jalala Mwakindenge Aongoza Hafla ya Ndoa za Vijana 100 Katika Maadhimisho ya Mazazi ya Bibi Fatima Zahra (a.s)
Hafla hii imeendelea kuwa ishara ya umoja, upendo na kuenzi Sunna ya ndoa katika Uislamu, sambamba na kuadhimisha tukio tukufu la mazazi ya Bibi Fatima Zahra (s.a).
-
Maulid ya Kitaifa 2025 Yang'ara Tanga | Rais wa Jamiat al-Mustafa (s) - Tanzania Sh.Dr. Ali Taqavi Ajumuika na Umma Kuadhimisha Maulid ya Mtume (saww)
Sherehe hiyo ya Mazazi ya Mtume wa Ummah (saww), imeonesha mshikamano, mapenzi ya dhati, na hamasa kubwa ya waislamu katika kuenzi maisha na mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w). Idadi kubwa ya washiriki katika hafla hii imekuwa ishara tosha ya mafanikio makubwa ya tukio hilo takatifu, na ushahidi wa mapenzi ya kweli kwa Mtume wa Mwisho
-
Maelfu waandamana Beirut kuunga mkono Hizbullah dhidi ya shinikizo la kuondolewa silaha
Wakisambaza ujumbe wao kwa sauti na maandamano, wananchi hao wamesisitiza kuwa Hizbullah si tu harakati ya kijeshi, bali pia ni nguzo muhimu ya taifa katika ulinzi wa mipaka na heshima ya Lebanon. Kwao, wazo la kuondoa silaha za harakati hiyo ni sawa na kuiweka Lebanon mikononi mwa maadui wake.
-
Shehena ya Mirungi kutoka Kenya Yanaswa Baharini na Polisi Tanga Katika Msako Maalum
Jeshi linasisitiza ushirikiano kati ya wananchi na vyombo vya dola katika kukomesha biashara na usafirishaji wa dawa za kulevya nchini.