14 Mei 2025 - 21:44
Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum awaalima watu wote katika Maonyesho ya Qur'an | Dar-es-salaam na Tanga

Qur'an Tukufu ni: Shifa (ponyo) kwa magonjwa ya kiroho na ya moyo kama vile wasiwasi, huzuni, mashaka, ujinga, na upotevu. Na ni Mwongozo wa maisha kwa binadamu wote—kwa mambo ya kidini na ya kila siku.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Maonyesho ya Usomaji wa Qur'an Tukufu, Dar-es-Salam - Tanzania.

Sheikh Dr. Alhad Mussa Salum – Mwenyekiti JMAT-TAIFA - Kwa Heshima na Taadhima, anawaalika nyote kuhudhuria maonyesho haya Maalum.

🌍 KONGAMANO LA KIMATAIFA LA QUR’AN KUFANYIKA TANZANIA!

Kwa kushirikiana na:

▪️ BAKWATA

▪️ JMAT

▪️ Kituo cha Utamaduni cha Iran

▪️ Al-Mustafa International Foundation

📌 Mahali: Dar es Salaam & Tanga – Tanzania.

🪑🎤 Washiriki Kutoka:

🇮🇷Iran
🇹🇿Tanzania
🇬🇧 England - London.

🎖 Mgeni Rasmi: Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

🔗 BONYEZA LINK HII
https://youtu.be/c8vZZhXxA4s?si=r8o6sT0i4NVXielQ

📺 USISAHAU KUSUBSCRIBE JMAT ONLINE TV - Ili kupata matukio mbalimbali ya kuijenga jamii na taifa letu!

Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum awaalima watu wote katika Maonyesho ya Qur'an | Dar-es-salaam na Tanga

Tanbihi:

Qur'an Tukufu ni: Shifa (ponyo) kwa magonjwa ya kiroho na ya moyo kama vile wasiwasi, huzuni, mashaka, ujinga, na upotevu. Na ni Mwongozo wa maisha kwa binadamu wote—kwa mambo ya kidini na ya kila siku.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha