wiki
-
Jenerali Damghani: Zaidi ya Programu 8,500 Zitatekelezwa Katika Wiki ya Basij Mkoani Gilan
Mkoa wa Gilan nchini Iran watangaza utekelezaji wa programu 8,586 katika Wiki ya Basij, zikihusisha shughuli za kitamaduni, kijamii, kujitolea na miradi ya kusaidia wananchi wenye mahitaji.
-
Sala ya Ijumaa ya Wiki hii Yafanyika Katika Chuo cha Jamiat Al-Mustafa Tanzania, Sheikh Swaleh Abdu-Rahman Asisitiza Haki za Majirani
Sheikh Swaleh Abdu-Rahman amesisitiza umuhimu wa kudumisha ujirani mwema na kuheshimu haki za majirani kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu, Mtume Muhammad (s.a.w.w) na Maimamu wa Ahlul-Bayt (a.s.), akibainisha kuwa mahusiano mema ya ujirani ni msingi muhimu wa kujenga jamii yenye amani, upendo na mshikamano.
-
Kufichuliwa kwa mateso dhidi ya wanazuoni wa Bahrain waliokamatwa; Sheikh Sanqour alisimamishwa kwa wiki moja akiwa amefunikwa macho!
Kwa mujibu wa taarifa iliyofichuliwa kuhusu kesi ya siri ya wanazuoni waliokamatwa nchini Bahrain, Sheikh Muhammad Sanqour, mwalimu wa masomo ya juu ya elimu ya dini mwenye umri wa miaka 58, alilazimishwa kusimama kwa wiki nzima akiwa amefunikwa macho, hali iliyosababisha afya yake ya mwili kudhoofika sana.
-
Ujumbe wa Rambirambi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Mpito ya Afghanistan kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Amir Khan Muttaqi, Kaimu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taliban, katika ujumbe aliomtumia Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, alitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha dada yake, wiki moja baada ya kifo hicho.
-
Jamiat Al-Mustafa Tanzania Yaendelea Kuimarisha Taaluma Kupitia Mitihani ya Majaribio ya Kila Wiki
Jamiat Al-Mustafa Tanzania yaendelea kuimarisha taaluma kupitia mtihani wa majaribio wa kila wiki unaofanyika kila Jumamosi, ikiwa ni sehemu ya tathmini endelevu ya maendeleo ya wanafunzi.
-
Kiongozi wa Iran Asisitiza Umoja wa Kitaifa na Kulinda Mshikamano wa Kijamii
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, amesisitiza umuhimu wa serikali na taasisi zote za nchi kulinda umoja wa kitaifa na mshikamano wa kijamii, akionya dhidi ya kauli zinazoweza kuchochea mgawanyiko miongoni mwa wananchi.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Kufanya chochote kinachodhuru mshikamano wa kijamii ni marufuku
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Husseini Khamenei, amesisitiza umuhimu wa kudumisha umoja na mshikamano wa kijamii nchini Iran, akitangaza kwa uthabiti kwamba hatua au kauli yoyote inayodhuru mshikamano wa jamii ni marufuku. Aidha, ametoa wito wa kuimarisha uchumi wa ndani, kutumia teknolojia na ubunifu wa vijana, pamoja na kusimamia utamaduni, elimu na malezi kwa lengo la kuijenga Iran yenye nguvu zaidi.
-
Urithi wa Shahidi Nasirzadeh: Nguzo ya Usalama na Ulinzi wa Iran
Katika kuelekea Wiki ya Serikali nchini Iran, urithi wa mashahidi na watumishi wa taifa unakumbusha umuhimu wa kuchukulia dhamana ya uongozi kama amana ya Mwenyezi Mungu, na kutumia uwezo wote katika kulinda heshima, usalama na maslahi ya taifa.
-
Qazan Yaongezwa Katika Miji Itakayokuwa Mwenyeji wa Wiki ya Utamaduni wa Iran Nchini Urusi
Balozi wa Iran nchini Urusi, Kazem Jalali, ametangaza kuwa mji wa Qazan, makao makuu ya Jamhuri ya Tatarstan, umeongezwa kwenye orodha ya miji itakayokuwa mwenyeji wa Wiki ya Utamaduni wa Iran nchini Urusi. Amesema tukio hilo linalenga kuimarisha ushirikiano wa kitamaduni, kisayansi na maktaba kati ya mataifa hayo mawili.
-
Mkuu wa Mahakama ya Iran: Madai ya Marekani ya Kutetea Haki za Binadamu ni ya Kichekesho
Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Hujjatul-Islam Gholam-Hossein Mohseni Ejei, amesema kuwa madai ya Marekani kuhusu kuunga mkono haki za binadamu ni ya kichekesho, akituhumu Washington kutumia propaganda za vyombo vya habari kuficha uhalifu wake na kupotosha ukweli.