12 Aprili 2025 - 16:27
Mashambulizi ya makombora ya Muqawama wa Palestina katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu

Vyanzo vya habari vimeripoti shambulio la roketi kutoka Ukanda wa Gaza kwenye maeneo yanayokaliwa kimabavu ya Palestina.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul Bayt (AS) - abna - , Vyanzo vya Habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa roketi kadhaa zilirushwa kutoka Kusini mwa Ukanda wa Gaza kuelekea eneo la "Ukanda wa Gaza".

Kuhusiana na hili, jeshi la Israel pia lilidai kuwa lilinasa makombora matatu yaliyorushwa kutoka Kusini mwa Ukanda wa Gaza.

Shambulio hili lilitekelezwa huku jeshi la Israel likiwa tayari limekwisha toa madai feki ya kuharibu uwezo wa kijeshi wa Muqawamah wa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha