Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Mwito wa Rehema - Mkusanyiko Mkubwa Katika Nuru ya Qur'an - Tarehe: Jumamosi, 24 Mei. Muda: Saa 9:00 asubuhi hadi saa 12:00 mchana. Mahali: Uwanja Mkubwa wa: Tanga, Mkwakwani Stadium. Karibu ujiunge nasi katika tukio hili maalum la kiroho, lenye Mawaidha, Tilawa ya Qur'an kutoka kwa Wasomaji Mahiri, Bingwa na Mashuhuri wa Qur'an Tukufu kutoka nchini Iran na Tanzania. Ni tukio la kujifunza ujumbe wa rehema kupitia mwangaza wa Qur'an Tukufu.
Mwito wa Rehema | Tilawa Tukufu ya Qur'an kutoka kwa Wasomaji Bingwa wa Qur’an wa Iran na Tanzania + Tanga, Mkwakwani Stadium
10 Mei 2025 - 16:32
News ID: 1556683

Ni tukio la kujifunza ujumbe wa rehema kupitia mwangaza wa Qur'an Tukufu.
Your Comment