20 Juni 2025 - 03:39
Venezuela: Dunia imefurahishwa na pigo Kali la Iran dhidi ya Utawala wa Kizayuni

Waziri Mkuu wa Venezuela l: "Venezuela inasimama bega kwa bega na Iran katika Haki yake ya kujihami na kuilinda amani yake dhidi ya majaribio yoyote ya jinai za kizayuni".

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Waziri Mkuu wa Venezuela, Diosdado Cabello, amesema: Tunaisapoti na kuihami Iran kukabiliana na haki yake ya kujikinga na kujihami dhidi ya uchokozi wowote ule.

Waziri Mkuu wa Venezuela aliongezea kwamba:

Venezuela inasimama bega kwa bega na Iran katika Haki yake ya kujihami na kuilinda amani yake dhidi ya majaribio yoyote ya jinai ya Kizayuni.

Venezuela: Dunia imefurahishwa na pigo Kali la Iran dhidi ya Utawala wa Kizayuni

Taarifa kuhusu Utawala wa kumwaga Damu wa Kizayuni:
Ni jambo la maana kwako wewe Mpenzi Msomaji kuwa na taarifa.

Kumbuka kwamba Utawala haram wa Israeli unakandamiza Siku zote haki za Wapalestina, na kuzikalia kwa dhulma ardhi za Wapalestina. Na hilo ni kinyume na Haki.

Pia, Utawala huu wenye rekodi kubwa ya kutenda jinai na kumwaga damu za Watoto na Wanawake wasiokuwa na Hatia, unaamua leo hii kufanya uchokozi wa kuishambulia kivita Jamhuri ya Kiislamu ya Iran!, na mara hii Utawala huu utapata kile walichokipanda katika uchokozi huo, na tunatumaini hivi karibuni kuona Ushindi mkubwa wa Iran dhidi ya Utawala huu haram wa Kizayuni, na Insha'Allah- kwa Uwezo wa Allah adui atashindwa hivi karibu. Kwa hakika hii ni vita baina ya Imani na Ukafiri.

Venezuela: Dunia imefurahishwa na pigo Kali la Iran dhidi ya Utawala wa Kizayuni

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha