jinai
-
Ripoti juu ya hali ya hivi punde huko Gaza / Kwa mara ya kwanza katika historia, watu milioni 2 wamezingirwa katika ukanda mmoja (Ukanda wa Gaza)
Katika ripoti ya hivi punde kuhusu hali ya Ukanda wa Gaza, Mwanaharakati wa Kipalestina amesema: "Kwa ujumla, zimepita takriban siku 45 tangu hata kilo 1 ya unga au chupa 1 ya maji iingie Gaza, na mzingiro huo uko katika hali mbaya zaidi."
-
Zaidi ya watu 25 waliouawa Shahidi na wengine kujeruhiwa katika shambulio la Marekani katika eneo la Magharibi mwa Yemen
Idadi ya Mashahidi katika shambulio la jana usiku la Marekani katika Mkoa wa Hodeidah Magharibi mwa Yemen imeongezeka na kufikia watu 10, na zaidi ya watu 16 wameripotiwa kujeruhiwa.
-
Hassan Badir, Afisa wa Dawati la Palestina la Hezbollah ya Lebanon auawa Shahidi
Utawala wa Kizayuni ulilenga nyumba ya makazi na baadhi ya watu wa familia ya Hassan Badir pia walikuwa ndani ya nyumba hiyo wakati wa jinai hiyo ya Wazayuni.
-
Mmoja wa Maafisa wa Dawati la Palestina la Hezbollah ya Lebanon ameuawa Shahidi
Jana usiku utawala wa Kizayuni ulishambulia jengo la makazi kwa mashambulizi ya anga bila ya kutoa tahadhari ya awali.