Mkutano wa Bin Salman na Al-Joulani Pembezoni mwa Kikao cha Dharura cha Kiislamu na Kiarabu Doha +Video
15 Septemba 2025 - 18:27
News ID: 1727288
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, amekutana na kufanya mazungumzo na Ahmad al-Sharaa (al-Joulani), Rais wa muda wa Syria, pembezoni mwa mkutano wa dharura wa Nchi za Kiislamu na Kiarabu uliofanyika mjini Doha.
Your Comment