Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kikao cha Kukaribisha Usomaji wa Qur’an katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kimefanyika katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini(Ra) kwa kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ikiwa nivsiku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Ramadhan ni msimu wa Qur’an Tukufu, ambapo usomaji wake huambatana na thawabu nyingi zaidi na huimarisha uhusiano wa mtu na Mwenyezi Mungu.
Your Comment