-
Wasomi wa Iran washiriki katika vipindi vya Qur’ani Tukufu nchini Iraq Mwezi wa Ramadhani
Jumla ya vipindi 30 vya Qur’ani Tukufu viliandaliwa kwa ushiriki wa wasomi wa kiwango cha juu wa masuala ya Qur’ani kutoka Iran, katika majimbo mbalimbali ya Iraq wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wa mwaka huu.
-
Unafiki wa nchi za Magharibi katika kutetea uchomaji wa Qur’ani
Tendo la kutusi na kudhalilisha nakala za Qur’ani Tukufu katika mataifa ya Magharibi kwa kisingizio cha kulinda uhuru wa kujieleza limekuwa likirudiwa mara kadhaa katika miaka ya hivi karibuni.
-
Utawala wa Israel wafunga Msikiti wa Ibrahimi, mkurugenzi apigwa marufuku
Mamlaka ya utawala wa Kizayuni iliweka kufuli katika milango ya Msikiti wa Ibrahimi ulioko katika mji wa Al-Khalil (Hebron), kusini mwa Ukingo wa Magharibi, siku ya Jumatatu.
-
Hamas yapongeza hatua ya Umoja wa Afrika kumtimua balozi wa utawala wa Israel
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina , Hamas, imelinganisha vitendo vya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na mauaji ya kimbari ya Rwanda, huku ikisifu hatua ya Umoja wa Afrika Afrika kumfukuza balozi wa utawala wa Israel kutoka mkutano maalum wa kumbukumbu uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia.
-
Maandalizi ya Mashindano ya Qur’ani kwa wafanyakazi wa Iran
Usajili umeanza rasmi kwa toleo la nane la mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa wafanyakazi nchini Iran.
-
Masharti ya Tawakkul yanaathiri tabia ya mwanadamu
Baadhi ya imani za kidini si tu kwamba zinakuwa masharti ya kiakili ya Tawakkul, bali pia huathiri mwenendo na tabia ya mwanadamu.
-
Mwanazuoni Mkongwe wa Qur'ani Iran, Abdolrasoul Abaei, afariki akiwa na umri wa miaka 80
Abdolrasoul Abaei, mmoja wa shakhsia mashuhuri na wanaoheshimika sana katika nyanja za Qur'ani Tukufu nchini Iran, ameaga dunia tarehe 9 Aprili 2025 akiwa na umri wa miaka 80, baada ya maisha marefu ya kujitolea kwa ajili ya huduma na uendelezaji wa Qur’ani Tukufu.
-
Indonesia tayari kuwapokea Wapalestina waliojeruhiwa na mayatima wa Gaza
Indonesia iko tayari kutoa hifadhi ya muda kwa watoto na Wapalestina waliojeruhiwa kutokana na vita vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza, amesema Rais Prabowo Subianto.
-
Kipindi cha Televisheni cha Mahfel kimeimarisha mapenzi ya watu kwa Qur’ani Tukufu
Mmoja wa watangazaji wa kipindi cha “Mahfel,” kinachorushwa hewani katika televisheni nchini Iran katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, ameeleza mafanikio ya kipindi hicho, ikiwa ni pamoja na kuimarika kwa mapenzi ya watu kwa Qur’ani Tukufu.
-
Wairani 192,000 wameshiriki ibada ya Umrah katika duru ya awali
Awamu ya kwanza ya safari ya Umrah kwa Mahujaji kutoka Iran kwa mwaka huu imehitimishwa rasmi, ambapo takriban Wairani 192,000 wametekeleza ibada hiyo tukufu ya Hijja Ndogo nchini Saudi Arabia.
-
Ripoti katika Picha | Ayatollah Mohsen Faqihi atembelea Shirika la Habari la ABNA
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) - ABNA-, Ayatollah Mohsen Faqihi, Mjumbe wa Jumuiya ya Walimu wa Seminari ya Qom, alitembelea Ofisi ya Wahariri ya Shirika la Habari la Kimataifa la ABNA katika Mji wa Qom, alasiri ya leo, Jumatano, Aprili 09, 2025, ili kufahamishwa kuhusu shughuli za Shirika hili. Kufuatia ziara hii, Ayatollah Faqihi alionekana akiwa sambamba na Waandishi wa Habari kutoka katika Shirika la Habari la ABNA na, katika hotuba yake, alielezea dhamira ya Vyombo vya Habari katika hali ya sasa na umuhimu wa kuzingatia maadili ya Vyombo vya Habari.
-
Habari Pichani | Ziara ya Kitabligh katika Hawzat ya Mabanati (Hawzat Aqillah s.a), Moshi - Tanzania
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Samahat- Sheikh Suwailehe, atembelea Hawzat ya Aqillah (sa) iliopo Mjini Moshi - Tanzania, leo hii tarehe: 9/4/2025.
-
Umuhimu wa Hijab kwa Mwanamke: Ni kwa nini Hijab ni Wajibu kwa Mwanamke wa Kiislamu?
Katika zama hizi, Hijabu imelinganishwa na kutoendelea kwa jamii na inafikiriwa kuwa ni ishara ya kifungo cha wanawake. Wahubiri wengi wanafikiria kuwa ni bora kutolizungumzia jambo hili katika majlisi zao. Lakini Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) amesema: “Inapotokea Bid’ah na Mwanachuoni asikiseme kile akijuacho (dhidi ya Bid’ah hiyo), basi (Mwanachuoni huyo) hulaaniwa na Mwenyezi Mungu, Malaika na Wanadamu.”
-
Kuchapishwa kwa kitabu cha kwanza kuhusu Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah kwa ajili ya Watoto
Kitabu cha kwanza cha Watoto na Vijana kuhusu Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, kilichoitwa "Baba Hadi" kilichoandikwa na: Elaheh Akherati, kimechapishwa na sasa kinapatikana kwa wale wanaotaka.
-
Maisha Mazuri:
Maisha kwa mtindo wa Wahyi: Je! Qur'an Inatuonyeshaje Njia ya Maisha ya Furaha (Saada)?
Kuelewa mtindo wa maisha katika zama za sasa, ambazo ni zama za Ghaiba, ni swali muhimu. Kwa sababu kazi muhimu ni kuelimisha kizazi kinacholingana na zama za wahyi ili kumsaidia Imamu wa Zama (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake na faraja yake). Kwa kuzichunguza kwa makini Aya na riwaya, kudhihiri na kuonekana kwa maisha mazuri na hatimaye kufikia maisha sahihi katika kipindi cha kudhihiri, kutadhihirika katika mwanga au kivuli cha elimu na marifa juu ya Hojja wa Mwenyezi Mungu.
-
Habari Pichani | Ziara ya Ayatollah Sheikh Hussein Maatouq katika Shirika la Habari la ABNA
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (AS) - abna -, Ayatollah Sheikh Hussein Ma'touq, Mjumbe wa Kuwait wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (AS), alitembelea Shirika la Habari la ABNA katika Mji wa Qom.
-
Ripoti juu ya hali ya hivi punde huko Gaza / Kwa mara ya kwanza katika historia, watu milioni 2 wamezingirwa katika ukanda mmoja (Ukanda wa Gaza)
Katika ripoti ya hivi punde kuhusu hali ya Ukanda wa Gaza, Mwanaharakati wa Kipalestina amesema: "Kwa ujumla, zimepita takriban siku 45 tangu hata kilo 1 ya unga au chupa 1 ya maji iingie Gaza, na mzingiro huo uko katika hali mbaya zaidi."
-
Zaidi ya watu 25 waliouawa Shahidi na wengine kujeruhiwa katika shambulio la Marekani katika eneo la Magharibi mwa Yemen
Idadi ya Mashahidi katika shambulio la jana usiku la Marekani katika Mkoa wa Hodeidah Magharibi mwa Yemen imeongezeka na kufikia watu 10, na zaidi ya watu 16 wameripotiwa kujeruhiwa.
-
Habari Pichani | Umoja wa Kiislamu na Mahusiano Mema kati ya Waislamu wa Shia na Sunni Mkoani Arusha na Kilimanjaro - Tanzania
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Leo Tarehe 8/4/2025 Samahat-Sheikh Suwailehe /Abdurah-aan katembelea Ofisi za BAKWATA Mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kumzuru Sheikh wa Mkoa wa Kilimanjaro Samahat-Sheikh Mlewa na Katibu Mkuu BAKWATA Kilimanjaro Alhaj Awadhi Lema.