-
Ugumu uliopo katika kuwatangaza Kizazi Kitukufu cha Mtume Muhammad (saww) ambao ni Mawalii wa Mwenyezi Mungu (s.w.t) | Watu hawawajui Ahlu-Bayt (as)!
Leo hii, jambo la kuwatangaza Ahlul-Bayt (a.s) ambao ndio tumeusiwa na Mtume wetu Muhammad (s.a.w.w) tushikamane nao baada yake na kuwafuata wakiwa wakiwa kama Kizito cha Pili baada ya Qur'an Tukufu, ni jambo gumu kulingana na jamii ya watu tunayokabiliana nayo.
-
Habari Pichani | Shule Mpya ya Secondary Bilal yafunguliwa Nchini Uganda
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Ufunguzi rasmi wa Shule ya Sekondari Bilal - Jengo la Udhamini la Punjani. KSIJ-KAMPALA, UGANDA
-
Mashambulizi ya makombora ya Muqawama wa Palestina katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu
Vyanzo vya habari vimeripoti shambulio la roketi kutoka Ukanda wa Gaza kwenye maeneo yanayokaliwa kimabavu ya Palestina.
-
Mwenyekiti wa Baraza la Ulamaa wa Pakistan: Mahali pa mwisho pa mradi wa "Israeli Kubwa" ni Makka na Madina
Mkuu wa Baraza la Ulamaa wa Pakistan alionya kwamba mradi wa "Israeli Kubwa" unatafuta udhibiti wa mwisho juu ya Madina na Makka.
-
Gaza katika moto, dunia katika ukimya; Wanazuoni wa Bahrain wanapiga kelele / wanapaza sauti dhidi ya jinai na ulegevu wa aibu wa nchi za Kiislamu
Huku Ghaza ikipamba moto kutokana na uvamizi wa utawala ghasibu wa Kizayuni, wanazuoni wa Bahrain kwa kauli iliyo wazi wamepongeza kusimama kidete wananchi wa Palestina na kulaani mauaji ya kudumu na kimya cha kutisha cha taasisi za kimataifa na nchi za Kiarabu.
-
Jeshi la Israel linapanga njama ya kuteka 50% ya Ukanda wa Gaza
Jeshi la Israel linapanga kudhibiti asilimia 50 ya Ukanda wa Gaza ikiwa kutakuwa hakuna maendeleo katika mazungumzo ya pande mbili.
-
Video | Ni jinsi gani ya kuwa Mja wa Mwenyezi Mungu...?
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (AS) - ABNA: Katika clip hii fupi, ni maelezo na ufafanuzi kutoka kwa Ayatollah Mohsen Faqihi, Mwanachama wa Jumuiya ya Walimu wa Seminari ya Qom akieleza ni kwa namna ipi Mwaandamu anaweza kuwa Mtumishi na Mja bora wa Mwenyezi Mungu (s.w.t).
-
Kushindwa kwa Marekani nchini Yemen kumezusha wasiwasi miongoni mwa nchi za Kiarabu. Nini kitatokea ikiwa San'a itakuwa Mamlaka yenye Nguvu Kikanda?
Kwa kuzingatia chaguzi ndogo za Amerika, mashaka yameongezeka miongoni mwa maadui wa Yemen katika nchi za Ghuba ya Uajemi, na hii imefanya kazi ya vyombo vyao vya habari - ambavyo vinaendana kikamilifu na (riwaya) simulizi ya Marekani na Israel - kuwa ngumu; Hadi wanakimbilia kuwatuhumu “Ansarullah” kwa kutumia vita vibaya.
-
Walimu ni Walezi na Wazazi Bora kuliko Wazazi wote, maana wanakaa na Watoto masaa Mengi kuliko wanavyokaa majumbani mwao + Video
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Mwenyekiti wa Taasisi ya "The Desk And Chair Foundation" ya Jijini Mwanza, Alhaj, Dkt. Sibtain Megji, amewapongeza waalimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bwiru kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuwaelimisha Watoto wa Kike na kuwandaa kwa ajili ya maendeleo yao ya baadae. Aidha, ameipatia Shule hiyo msaada wa Madawati zaidi ya Mia Moja. @Chanzo cha Habari: IBN TV
-
Ulinganisho kati ya Maisha ya Seminari (Hawza) za Kiislamu na Maisha ya Vyuo Vikuu vya Kisekula (Kidunia).
Watu wengi wanatamani Maisha ya Hawza na wanachukua uamuzi wa kujiunga katika Seminari/ Hawza ili kupata Elimu na Maarifa yenye uwezo mkubwa wa kumuongoza Mwanadamu na hatimaye kuchukua kikamilifu mtindo wa Maisha ya Hawza.