-
Umati wa Wananchi wa Malaysia wameandamana kuonyesha sapoti yao kwa Iran mbele ya Ubalozi wa Marekani Mjini Kuala Lumpur
Hivi karibuni Dunia itashuhudia Haki ikiishinda batili na Imani ikishinda ukafiri.
-
Mshauri wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani: Msihadaike, hali ya "Israeli" ni mbaya zaidi kuliko watu wanavyodhani
"Israeli" haikuwa tayari na majibu ya Iran.
-
Gazeti la Wall Street Journal: Israel haiwezi kumudu zaidi ya wiki mbili kwenye vita na Iran
Gazeti hili pia limeelezea kwa kina gharama za vita vya Israel, likisema kuwa gharama za kuzuia kila roketi la Iran kwa kutumia mifumo ya ulinzi wa angani ya Israel zitakuwa kati ya Dola laki saba (700,000) hadi Dola Milioni Nne (4).
-
Ripoti mpya kuhusu kuangamizwa kabisa kwa jengo la Taasisi ya Weizaman la Israel kupitia makombora ya Kiiran + Video
Taasisi hiyo ni mojawapo ya vituo vya juu kabisa vya utafiti vya utengenezaji wa silaha za kikundi cha kigaidi kinachojulikana kama Hagana.
-
Maandamano makubwa ya watu wa Yemen katika kuiunga mkono Iran na Gaza + Picha na Video
Maandamano haya yalifanyika kwa kauli mbiu hii: "Tumesimama na Gaza na Iran dhidi ya uhalifu wa Kiyahudi-Marekani", katika viwanja vya maeneo tofauti ya Mkoa wa Saada.
-
Sheikh al-Azhar, Ahmad al-Tayeb, amelaani vikali mashambulizi ya uchokozi ya Israel dhidi ya Iran
Kimya cha jumuiya ya kimataifa kuhusu uonevu na uchokozi huu na kukosekana kauli za kuuzuwia, kinachukuliwa kuwa ni ushiriki katika jinai hizo, na matokeo yake pekee yatakuwa ni tishio kwa usalama wa dunia nzima. Vita havizai amani."
-
Zakzaky: Mashambulizi ya kigaidi ya Israel yanapasa kulaaniwa duniani kote
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky amelaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran na kuelezea hujuma hizo za utawala wa Kizayuni dhidi ya nchi huru kuwa ni kitendo cha juu zaidi cha uchokozi, kinachopaswa kulaaniwa duniani kote.
-
Kiongozi Muadhamu: Wamarekani wafahamu kuwa taifa la Iran halitasalimu amri
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran litasimama kidete katika kukabiliana na vita vya kulazimishwa, kama ambavyo halitakubali amani ya kutwishwa na hivyo taifa hali halitasalimu amri.
-
Kiongozi mkuu wa Mashia Iraq alaani vitisho dhidi ya Ayatullah Khamenei
Kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Mashia wa Iraq Ayatullah Sistani amelaani vikali hujuma inayoendelea ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran na vitisho vyovyote dhidi ya maisha ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Msomi wa Morocco: Nchi za Kiislamu ziunge mkono Iran kukabiliana na hujuma ya Israel
Rais wa zamani wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa Waislamu, Sheikh Ahmed al Raissouni, ametoa wito kwa Waislamu duniani kote kuunga mkono Iran katika kukabiliana na hujuma ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, huku akisisitiza kuwa hakuna taifa ambalo limewaunga mkono ukombozi wa Palestina kama ilivyofanya Iran.
-
Qari maarufu wa Misri, Sheikh Taruti, afungamana na Iran katika kukabiliana na Israel
Qari mashuhuri wa Misri, Sheikh Abdul Fattah Taruti, ametangaza kufungamana na watu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wasomi wa Kiislamu Palestina waunga mkono Iran
Baraza la Maulamaa wa Kiislamu Palestina limetoa taarifa na kutangaza kufungamana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah: Tunasimama pamoja na Iran kukabiliana na hujuma Marekani, Iran
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem amesisitiza uungaji mkono usioyumba wa harakati hiyo kwa Iran huku akilaani hujuma ya kichokozi na iliyo haramu inayotekelezwa na Marekani na utawala wa Israel dhidi ya Iran.
-
Mufti wa Libya: Vita vya Iran na Israel ni mapambano baina ya Uislamu na Ukafiri
Mufti wa Libya, Sheikh Sadiq al Ghariani amesema kuwa vita vinavyooendelea kati ya Iran na Israel ni vita baina ya Uislamu na ukafiri.