Kuzaliwa
-
Mkutano wa Kielimu “Sira ya Alawi” Ufanyika Bangladesh kwa Ushirikiano wa Waislamu wa Shia na Sunni
Mkutano wa kielimu wa “Sira ya Alawi” umefanyika Chittagong, Bangladesh, kwa ushirikiano wa wanazuoni wa Shia na Sunni, ukijadili maadili, haki na uongozi wa kidini wa Imam Ali (a.s) na kuhimiza mshikamano wa kidini na kitamaduni katika jamii ya Kiislamu.
-
Ujumbe wa Hongera wa Rais Pezeshkian kwa Kiongozi wa Wakatoliki Duniani
Katika kuendeleza diplomasia ya kidini na kuimarisha maadili ya kuishi kwa amani kati ya wafuasi wa dini mbalimbali, Rais wa Jamhuri alitoa ujumbe rasmi wa pongezi kwa kiongozi wa Wakatoliki duniani, akisisitiza umuhimu wa kuheshimiana, mazungumzo ya kidini na mshikamano wa kibinadamu katika dunia ya leo.
-
Tanga | Sheikh Mkuu wa T.I.C Sheikh H. Jalala Mwakindenge Aongoza Hafla ya Ndoa za Vijana 100 Katika Maadhimisho ya Mazazi ya Bibi Fatima Zahra (a.s)
Hafla hii imeendelea kuwa ishara ya umoja, upendo na kuenzi Sunna ya ndoa katika Uislamu, sambamba na kuadhimisha tukio tukufu la mazazi ya Bibi Fatima Zahra (s.a).
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Tasnia ya Madahi inapaswa kuwa kitovu cha fasihi ya Muqawama na ufafanuzi wa mafundisho ya dini na mapinduzi
Katika hotuba yake iliyochukua takriban saa tatu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei aliwapongeza Wairani kwa kuadhimisha kuzaliwa kwa Bibi Fatimah (a.s) na kusema kuwa “mwananchi wa Iran, kwa kupitia msimamo wa kitaifa wa kimapinduzi, ameshindwa kabisa njama za adui kutaka kubadilisha utambulisho wa kidini, kihistoria na kiutamaduni wa taifa hili.”
-
Iran yaadhimisha Siku ya Mwanamke na Siku ya Mama sambamba na kuzaliwa kwa Bibi Fatima Zahra (a.s)
Iran ikiadhimisha kumbukumbu hii tukufu, siku hii hubakia kuwa ukumbusho wa nafasi ya milele ya Bibi Fatima Zahra (a.s) katika nyoyo za Waislamu na nafasi yake kama taa ya uongofu, heshima na ukamilifu wa kiroho.
-
Mkutano Mkuu wa Nne wa Masadat, ukiwa na lengo la kuheshimu nyuso mashuhuri za Iran na dunia na uzinduzi wa Kitabu Kamili cha Gaza, utafanyika
Nadhami Ardakani ametaja kaulimbiu ya “Mkutano Mkuu wa Nne wa Masadat” kuwa: "Masadat ni Wabeba Bendera wa Mapambano dhidi ya Utawala wa Kizayuni na Watunzi wa Historia ya Baadaye", na akasema: Baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, bendera ya kupambana na Uzayuni ilipeperushwa kwa mara ya kwanza na Imam Khomeini (r.a), kisha ikakabidhiwa kwa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ambaye mwenyewe ni katika Masadat, na baadaye ikaendelezwa na watu kama Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Sayyid Badruddin Houthi na Ayatollah Sistani.
-
Mkurugenzi wa Ofisi ya Jumuiya ya Kiislamu ya Ahlul-Bayt (a.s) nchini Lebanon akutana na Sheikh Ahmad Qablan
Mkutano huo uliandaliwa kwa mnasaba wa kuzaliwa kwa Bibi Zainab (a.s), ambapo Nakhai alitoa taarifa kuhusu maendeleo na utekelezaji wa programu mbalimbali za Jumuiya hiyo nchini Lebanon.
-
Watu wa Iran na Jeshi Watasimama na Qatar: Kamanda Mkuu
Shambulio dhidi ya Qatar lisingeweza kutokea bila kupata idhini kutoka Washington.
-
Jamiatul Mustafa (s) Yaandaa Maadhimisho ya Maulid Al-Nabi, Dar-es-Salaam - Tanzania | Fursa ya Kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume Wetu Muhammad(s.a.w.w)
Maulid hii itafanyika Tarehe 07-09-2025, Pweza Beach Road - Kigamboni, Dar-es-salaam.
-
Kuzaliwa kwa mtoto wa Kiajemi (Muiran) wa Arubaini katika Hospitali ya Zainul-Abidina (a.s) Karbala
Mama mjamzito kutoka mkoa wa Yazd, ambaye alihudhuria matembezi ya Arubaini 1446, amejifungua mtoto wake katika Hospitali ya Hadrat Sayyid Zaynul Aabidin (a.s) mjini Karbala.