30 Agosti 2025 - 23:25
Jamiatul Mustafa (s) Yaandaa Maadhimisho ya Maulid Al-Nabi, Dar-es-Salaam - Tanzania | Fursa ya Kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume Wetu Muhammad(s.a.w.w)

Maulid hii itafanyika Tarehe 07-09-2025, Pweza Beach Road - Kigamboni, Dar-es-salaam.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mwaliko wa Maulid | Jamiatul Mustafa (s) - Dar-es-Salaam - Tanzania: Tunayo Furaha kukualika kwenye Maadhimisho ya Maulid Al-Nabi (s.a.w.w). Ni wakati wa Kushukuru, Kutafakari, na kuwa pamoja tunapomuezi Mtume Muhammad (s.a.w.w). 

Jamiatul Mustafa (s) Yaandaa Maadhimisho ya Maulid Al-Nabi, Dar-es-Salaam - Tanzania | Fursa ya Kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume Wetu Muhammad(s.a.w.w)

@Dr.Ali Taqavi
Mudir wa Jamiat al-Mustafa (s), Dar-es-salaam - Tanzania.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha