masomo
-
Mkuu wa Jamiat Al-Mustafa (s) Tanzania Awahimiza Wahitimu wa Hazrat Zainab (s) Kuendelea na Masomo ya Juu na Kutumikia Jamii
Mkuu wa Jamiat Al-Mustafa (s) nchini Tanzania, Dkt. Ali Taqavi, katika hafla ya mahafali ya wahitimu 31 wa Madrasa ya Hawza ya Hazrat Zaynab (s) iliyofanyika Kigamboni, Dar es Salaam, amewahimiza mabinti hao kuendelea na masomo ya juu, kuimarisha elimu ya dini na kutekeleza wajibu wao wa kielimu, kitamaduni na tablighi katika jamii, huku akieleza mafanikio ya kufundisha elimu ya Hawza kwa lugha ya Kiingereza, maendeleo ya wahitimu na dira ya kuanzishwa kwa Hikmah University of East Africa.
-
Ustadh Sayyid Mojtaba Nurmufidi amesisitiza:Ayatullah Al-Udhma Wahid Khorasani;
Alijitolea maisha yake yote katika utafiti,kuimarisha na kukuza elimu ya Fiqhi, pamoja na kulinda na kutetea mafundisho ya Madhehebu ya AhlulBayt(as)
Mwalimu wa masomo ya juu ya Fiqhi (Dars-e Kharij) katika Chuo Kikuu cha Kidini cha Qum, ambaye pia ni mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Masomo ya Fiqhi ya Kisasa, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufariki dunia kwa Ayatullah Al-Udhma Hussein Wahid Khorasani. Ameeleza kuwa msiba huo ni pigo kubwa katika misingi ya elimu ya Fiqhi na ulimwengu wa Kishia.
-
Maulana Sheikh Hemed Jalala Awavisha Vilemba Wanafunzi Waliohitimu Masomo ya Miaka Mitano katika Hawzat al-Qaaim (atfs), Jijini Tanga
Zoezi la uvalishaji vilemba limeambatana na nasaha za Sheikh Hemed Jalala kwa wahitimu kuhusu wajibu wao wa kuitumikia dini, kuelimisha jamii na kuzingatia maadili ya Kiislamu baada ya kukamilisha masomo yao ya Hawza.
-
Tanzania: Hawza ya Wasichana ya Hazrat Zainab (sa) Yaendesha Mafunzo ya Kuimarisha Akili na Hamasa ya Masomo ya Dini
Hawza ya Wasichana ya Hazrat Zainab (sa), iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam, Tanzania, imeendesha mfululizo wa mafunzo ya kuimarisha uwezo wa akili na kuongeza hamasa ya masomo ya dini, kwa ushirikiano na Wanawake wa Khoja.
-
Kufichuliwa kwa mateso dhidi ya wanazuoni wa Bahrain waliokamatwa; Sheikh Sanqour alisimamishwa kwa wiki moja akiwa amefunikwa macho!
Kwa mujibu wa taarifa iliyofichuliwa kuhusu kesi ya siri ya wanazuoni waliokamatwa nchini Bahrain, Sheikh Muhammad Sanqour, mwalimu wa masomo ya juu ya elimu ya dini mwenye umri wa miaka 58, alilazimishwa kusimama kwa wiki nzima akiwa amefunikwa macho, hali iliyosababisha afya yake ya mwili kudhoofika sana.
-
Kupinga Hijabu nchini Azerbaijan; Kunyamaza Kwetu Hakukubaliki!
Mzunguko mpya wa serikali ya Jamhuri ya Azerbaijan wa kupambana na maadili yanayokubaliwa na Waislamu wengi wa Kishia nchini humo umegeuka siku hizi kuwa habari kuu ya kijamii katika eneo hilo na ulimwengu wa Kiislamu. Hata hivyo, hadi sasa, mwitikio mkubwa zaidi kutoka nje ya nchi umetolewa na Uturuki, mshirika wa karibu, rafiki na mshirika wa kimkakati wa Jamhuri ya Azerbaijan.
-
Ubunifu wa Misikiti ya Mashhad katika Kutoa Huduma za Ushauri wa Uchaguzi wa Fani za Masomo na Mwelekeo wa Kazi
Meza maalumu za ushauri kuhusu uchaguzi wa fani za masomo na mwelekeo wa taaluma za kazi, zikihusisha wahadhiri kutoka vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu za mkoa wa Khorasan Razavi, zimefanyika katika misikiti saba iliyochaguliwa katika mji wa Mashhad, nchini Iran.
-
Programu ya Asubuhi ya Kimaanawi Yaendelea katika Madrasat Hazrat Zainab (sa), Kigamboni
Wanafunzi wa Madrasat Hazrat Zainab (sa), Kigamboni, Dar es Salaam, wameendelea na programu ya kila siku ya asubuhi kwa kusoma Qur’ani Tukufu, dua na ziyara mbalimbali, kwa lengo la kuimarisha malezi ya kiroho, maadili ya Kiislamu na uhusiano wao na Qur’ani pamoja na Ahlul-Bayt (as).
-
Jamiat Al-Mustafa Tanzania Yaendelea Kuimarisha Taaluma Kupitia Mitihani ya Majaribio ya Kila Wiki
Jamiat Al-Mustafa Tanzania yaendelea kuimarisha taaluma kupitia mtihani wa majaribio wa kila wiki unaofanyika kila Jumamosi, ikiwa ni sehemu ya tathmini endelevu ya maendeleo ya wanafunzi.
-
Mpango Mpya wa Jimbo la Tamil Nadu, India, wa Kurahisisha Masomo ya Vyuo Vikuu kwa Wanawake Waislamu
Serikali ya Jimbo la Tamil Nadu nchini India imetangaza kwamba italipia ada za masomo ya chuo kikuu kwa wanawake Waislamu wanaokidhi vigezo.
-
Yaliyofichika kuhusu mwenendo wa kielimu na kiutendaji wa Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei
Umahiri katika elimu ya fiqhi na masomo ya Hawza, uanzishaji na usimamizi wa vituo vya kielimu, uelewa mpana wa sayansi na teknolojia za kisasa, tafiti za kimkakati katika nyanja mbalimbali, pamoja na kuanzisha mitandao ya taasisi za hisani kwa ajili ya kuwasaidia wahitaji, ni miongoni mwa mambo ambayo hayajulikani sana kuhusu mwenendo wa kielimu na kiutendaji wa Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei.
-
Kiongozi wa Iran: Ukiukaji wa Marekani unathibitisha saini yake haina thamani; Iran ina masomo yasiyosahaulika kwa adui
Katika ujumbe kuhusu kuaga kwa kishujaa kwa Kiongozi shahidi wa Iran, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatollah Sayyid Mojtaba Khameni amesema kuwa ukiukaji wa mara kwa mara wa Marekani wa makubaliano yaliyosainiwa kati ya marais wa Iran na Marekani umeonyesha tena kuwa saini ya rais wa Marekani haina thamani. Amesema pia kuwa Iran na mhimili wa muqawama wana masomo yasiyosahaulika kwa adui, kama ilivyoonekana kupitia ujasiri wa wapiganaji na uhodari wa wananchi wa maeneo ya kusini.
-
Ayatollah Alidoust amekutana na kufanya mazungumzo na Ayatollah Javadi Amoli
Ayatollah Abul-Qasim Alidoust, mmoja wa walimu wa masomo ya kiwango cha juu (Dars-e-Kharij) katika Hawza ya Kiislamu ya Qom, amekutana na kufanya mazungumzo na Ayatollah al-Uzma Javadi Amoli
-
Onyo la Profesa wa Chuo Kikuu cha Australia kuhusu wimbi la chuki dhidi ya Uislamu baada ya tukio la kigaidi la Sydney
Mark Kenny, Profesa wa Masomo ya Australia katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Australia (Australian National University), ameonyesha wasiwasi wake kuhusu kuongezeka kwa hatari ya chuki dhidi ya Uislamu baada ya shambulio la Sydney na kutoa onyo kuhusu suala hilo.