20 Aprili 2025 - 21:14
Maandamano ya makubwa ya kuisapoti “Gaza” Yafanyika Islamabad: Hafidh Naeem atoa wito wa mgomo wa kitaifa na kususia bidhaa za Israel + Video

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Islamabad: Kiongozi wa Jamaat-e-Islami Pakistan, Hafidh Naeem ur-Rehman, siku ya Jumapili alihutubia maandamano makubwa ya “Gaza March” yaliyofanyika mjini Islamabad, ambapo alitangaza mgomo wa kitaifa tarehe 26 Aprili ili kuonesha mshikamano na watu wa Palestina. Aliuelezea mgomo huo kama "jihad ya amani".Akiwahutubia waandamanaji alisema: “Hatuna nia ya kugombana na yeyote, wala hatutaki mzozo na polisi, lakini hakuna mtu anayeweza kutuzuia.”

Maandamano ya makubwa ya kuisapoti “Gaza” Yafanyika Islamabad: Hafidh Naeem atoa wito wa mgomo wa kitaifa na kususia bidhaa za Israel + Video

Your Comment

You are replying to: .
captcha