24 Mei 2025 - 15:56
News ID: 1692130
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) – ABNA, warsha ya mafunzo ya upigaji picha ilifanyika katika mwezi wa (Mei 2025), chini ya uongozi wa Ustaadh Hamid Abdi, mhadhiri wa chuo kikuu na mpiga picha mwenye uzoefu wa Shirika la Habari la Kimataifa la ABNA.
Your Comment