Jenerali wa Kizayuni: "Haraka iwezekanavyo tuanze hatua za mazungumzo ya Kidiplomasia, mimi sitaki hata kufikiria juu ya Makombora ya Iran! + Video
19 Juni 2025 - 18:03
News ID: 1699707
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Jenerali wa Kizayuni anayeitwa "Namrud Shaifar, ambaye ni Rais wa zamani Kituo cha Jeshi la anga la Israel amesema: Makombora ya Iran yatabadilisha muono wetu, sisi kwa hakika katika vita hii kamwe hatuwezi kushinda. Haraka iwezekanavyo tuanze hatua za kidiplomasia ili tuweze kuzuia hasara zaidi. Mimi sitaki hata kufikiri juu ya makombora mengine yajayo ya Iran!
Your Comment