1 Januari 2026 - 02:32
Video | Tizama Mwili Mtukufu wa Shahidi Abu Ubaida, Rehema za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake - "Imma Ushindi au Shahada"

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Shahidi Abu Ubaidah alitumikia maisha yake yote akiwa Mujahidi dhidi ya dhulma na batili, akipigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na hatimaye akastahiki zawadi Nono ya Shahada akiwa katika mapambano hayo ya kuitetea Haki. Mwenyezi Mungu Amrehemu, yeye pamoja na Mashahidi wote, hasa wale wa Mashahidi waliokufa Kishahidi wakiwa katika Njia ya Quds. Kauli ya Daima ya Shahidi Abu-Ubaida ilikuwa ni hii: "Imma Ushindi au Shahada". Alikuwa akisema kauli hiyo kila alizokuwa akifika Mwisho wa Hotuba yake kwamba hakuna Jambo la Tatu, Bali mambo ni Mawili: Imma kupata Ushindi au Kupata Shahada. Na alikuwa akijuwa kabisa kuwa Mwenyezi Mungu atamruzuku Shahada kama zawadi ya Mapambano yake Matukufu.

Your Comment

You are replying to: .
captcha