1 Januari 2026 - 00:11
News ID: 1768419
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-, maelfu ya watu walikusanyika kushiriki katika mazishi ya Khaleda Zia, Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh. Khaleda Zia alikuwa kiongozi wa kisiasa wa Bangladesh, aliyeshika nafasi ya Waziri Mkuu kuanzia 1991 hadi 1996, na tena kutoka 2001 hadi 2006 katika nchi hiyo ya Asia.
Your Comment