19 Machi 2011 - 20:30

MashabikiwaTimu ya Beshkitash kuandamana jana dhidi yaTimu ya Mazayuni katika Ligi ya Ulaya.

Ripoti ya Shirika la Habari la Ahlul Bayt(a.s)-ABNA-ikiripoti kutoka Televisheniya ALJAZEERASPORT kuwa; ghadhabu ya Mashabiki wa Timu ya Uturuki ya Beshkitash waliandamana jana dhidi ya Timu ya Mazayuni ambayo ilifanyika Ukuruki wakiahidi kulipiza kisasi kwa kile walichofanya Utawala haramia wa Israel kuvamia Meli ya Waturuki iliotumwa kwa ajili ya kutowa msada kwa Wapalestina, baada ya kuvamiwa na waliuwawa Watu kadhaa Hilo liliwapelekea Waturuki kukasirika kwa Jinai hilo na kupelekea kufukuzwa Ubaloziwa Israel katika siku kadhaaz ilizopita, na kuja Timu hiyo iliamsha Hisia za Mashabiki wa Timu Beshkitash kuandamana kwaghadhabu na kuahidi kupiliza kisasi, na kutaka Shirika la Mpira la Uturuki kuzuiya Mashindano hayo ya Ligi ya Ulaya.