27 Julai 2012 - 12:50

Mmoja kati ya washindani wa Judo katika mashindano ya Olimpiki London 2012 azuiliwa kushiriki katika mashindano hayo kwa kosa la kuvaa hijabu.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Wujdan Ali Siraj Abdurrahman Shahru Khani mmoja kati ya washiriki wa mashindano ya Olimpiki London 2012 kuzuiliwa kushiriki katika mashindano hayo kwa kosa la kuvaa hijabu.

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Kimataifa la Judo imeeleza kuwa; kama mshiriki huyo hatovua hujabu yake basi hatoweza kushiriki katika mashindano ya Olimpiki London 2012.

Msiriki huyo ni mmoja kati ya washiriki wawili pekee wa Saudia Arabia walofaanikiwa kufikia katika michuano hiyo.