5 Novemba 2012 - 09:51

Jeshi la Israel la kusudia kuzidisha nguvu za Cyber Attack na nguvu hizo kufikia Unite 8200.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Vyombo vya habari vya Israel vilieleza kuwa Jeshi la Israel limepungukiwa na nguvu ya Cyber Attack na hii hatari kwa Tel Aviv.

Viongozi wa Jeshi la Israel wa wamejibika kukusanya Vijana waerevu na wabobezi wa Computer Duniani ili kukabiliana na udhaifu ulokuwa nao Tel Aviv katika Cyber Attack.

Imekadiriwa kuwa bageti ya Cyber Attack imefikia Milioni 529 $ ili kufaanikisha suala hili katika miaka ijayo.

Israel na Marekani ni moja katika nchi maarufu za Cyber Attack na wanatuhuma kadhaa katika baadhi ya nchi za mashariki ya kati na kaskazini mwa Afrika.

Uvamizi wa kwanza wa Cyber Attack  ulifanywa mwaka 2009 na Israel kupeleleza vino vya Nyuklia vya Iran.

Ila kwa sasa Israel yaona kuna ulazima wa kuongeza nguvu za Cyber Attack kulingana na uvamizi na uagizaji wa Ndege za upelelezi za Hizbullah katika nchi ya Israel bila kutambua nchi ya Israel nini kinachojiri.