5 Machi 2013 - 20:30

Rais wa Venezuela Hugo Chávez amefariki dunia jana tarehe 5 mwezi wa tatu mwaka huu wa 2013.

Hugo Chávez amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na saratani kwa muda mrefu.Hugo Chávez amefariki akiwa na miaka 58.

 Chávez aliiongoza Venezuela kwa kwa muda wa muongo mmoja na miaka mine na alijitahidi sana katika kuleta mabadiriko katika nchi yake na kupambana na umasikini.Rais huyu pia alipingana na madhalimu na kukataanchi yake kuwa chini ya taifa lolote.