Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Barua kutoka ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kushukuru Timu ya Footsal ya Wanawake na Timu ya Judo.
Barua alotoka ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Iran ni kama ifuatavyo:
“Kuonyesha tamaduni ya Kiislamu Timu ya Wanawake katika mashindano tofauti ya Bara la Asia na kuwa mabingwa wa bara hilo imesababisha furaha kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Udhma Khamenei.
Kwa minajili hii shukurani za Kiongozi ziwafikieni na kukuombeeni dua njema kwa Mwenyezi Mungu.”
Barua walitumiwa Sumaiya Haidai ambae ni mmoja katika Timu ya Judo na Kocha, Timu ya Footsal ya Wanawake na kuwashukuru kwa fakhari hiyo.