Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Siku ya idi ya toba Mazayuni hufanya mambo ya ajabu ambayo hufanywa kila mwaka, moja kati ya mambo wanayofanya siku hiyo ya idi ya toba ni kuchukuwa Kuku mweupe na kumzuguusha mara 3 kichwani baada ya kitendo hicho utakuwa umesamehewa madhambi yako.
Mambo haya hufanya Mayahudi wa Othrodoks SIKU YA KIPUR na Mazayuni mambo hayo huyafanya barabarani.
Baada ya kitendo hicho Kuku huyu kuuwawa na nyama yake kuwapa mafakiri masikini.





