ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterToday News
  • Mahojiano Maalum ya Firdaus TV na Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum - Mwenyekiti JMAT-TAIFA 
Yaliyofanyika Katika Uwanja wa Michezo wa Mkwakwani, Tanga

    Mahojiano Maalum ya Firdaus TV na Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum - Mwenyekiti JMAT-TAIFA Yaliyofanyika Katika Uwanja wa Michezo wa Mkwakwani, Tanga

    Ni katika Kongamano la Qur'an Tukufu lililofanyiks Jijini Tanga. Tukio hilo liliimarisha misingi ya Amani, Mshikamano, Maridhiano, na Ushirikiano kati ya Watanzania, likiwa ni Jukwaa la kuendeleza Mafundisho ya Qur’an Tukufu yanayohimiza Utulivu na Maelewano ya Kijamii.

    2025-05-29 22:58
  • Mradi Kamili wa Kituo cha Sayansi cha Mabinti | Hawzat Hazrat Zaynab (S.A) - Kigamboni - Dar es Salaam - Pamoja na Shughuli za Kilimo kando ya Jengo

    Mradi Kamili wa Kituo cha Sayansi cha Mabinti | Hawzat Hazrat Zaynab (S.A) - Kigamboni - Dar es Salaam - Pamoja na Shughuli za Kilimo kando ya Jengo

    Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kwa fadhila na rehema za Mwenyezi Mungu na kwa juhudi za pamoja za dada zetu waaminifu na wachapa kazi katika Chuo cha Dini cha Hazrat Zaynab (S.A), mradi wa ujenzi na maandalizi ya kituo cha masomo kwa Mabinti wa Kiislamu sasa umekamilika kwa ukamilifu.

    2025-05-29 20:59
  • Rais Museveni na Mkewe Waomba Radhi kwa Wananchi wa Uganda, Watoa wito wa Amani na Uwajibikaji

    Rais Museveni na Mkewe Waomba Radhi kwa Wananchi wa Uganda, Watoa wito wa Amani na Uwajibikaji

    Hatua hii inaonyesha dhamira yao ya kuendelea kuongoza kwa uwazi na heshima.

    2025-05-29 19:04
  • Naibu Waziri wa Elimu na Utamaduni atembelea Shirika la Habari la ABNA / Entemani: Tofauti za ABNA ndizo Nguvu yake

    Naibu Waziri wa Elimu na Utamaduni atembelea Shirika la Habari la ABNA / Entemani: Tofauti za ABNA ndizo Nguvu yake

    Naibu Waziri wa Elimu na Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu wa Iran, alipokuwa akitembelea Shirika la Habari la ABNA, alieleza kwamba vyombo hivi vya habari vina sifa za kipekee na vina athari kubwa katika jamii.

    2025-05-29 18:15
  • JMAT Yatoa Wito kwa Viongozi wa Dini Nchini Kenya wa Kushirikiana Katika Kuwaongoza Wananchi wao ili Kuheshimiana na Kutunza Mahusiano ya Amani

    JMAT Yatoa Wito kwa Viongozi wa Dini Nchini Kenya wa Kushirikiana Katika Kuwaongoza Wananchi wao ili Kuheshimiana na Kutunza Mahusiano ya Amani

    Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum: "Wakenya ni ndugu wa Watanzania, na mbali na uhusiano wa kijamii, ni ndugu wa damu. Tunatambua kuwa mizozo hii inahusu zaidi vijana wa Kenya, lakini ni muhimu kuwakumbusha kuwa heshima ni nguzo muhimu katika mahusiano ya mataifa. Tunaamini Kenya ina Viongozi wa Dini na Serikali wanaoweza kusaidia katika hili."

    2025-05-29 17:31
  • Safari ya Kuleta Umoja ya Ayatollah Ramezani nchini Niger; Mazungumzo na Maulamaa Wakuu wa Dini wa Mji wa Niamey | Zawadi ya Pete ya Baraka Yatolewa

    Safari ya Kuleta Umoja ya Ayatollah Ramezani nchini Niger; Mazungumzo na Maulamaa Wakuu wa Dini wa Mji wa Niamey | Zawadi ya Pete ya Baraka Yatolewa

    Katibu Mkuu wa Jumuia ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) katika kikao na Imam wa Msikiti Mkuu wa Mji wa Niamey alisisitiza umuhimu wa kuimarisha Umoja wa Kiislamu na kuunga mkono nafasi ya Wanazuoni wa Dini katika jamii.

    2025-05-29 16:53
  • Habari Pichani | Ziara ya Naibu wa Maendeleo ya Usimamizi na Rasilimali wa Wizara ya Elimu na Utamaduni katika Kituo cha Habari cha ABNA

    Habari Pichani | Ziara ya Naibu wa Maendeleo ya Usimamizi na Rasilimali wa Wizara ya Elimu na Utamaduni katika Kituo cha Habari cha ABNA

    Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo tarehe [29 Mei, 2025], Naibu wa Maendeleo ya Usimamizi na Rasilimali wa Wizara ya Elimu na Utamaduni alitembelea Kituo cha Habari cha ABNA. Katika ziara hiyo, alitembelea Ofisi mbalimbali na kukutana na wafanyakazi wa kituo hicho.

    2025-05-29 15:18
  • Mratibu JMAT Taifa | Taarifa Muhimu kwa Waheshimiwa Viongozi wa JMAT na Washiriki wa Matembezi ya Hiari ya Amani ya (MHA)

    Bi. Fatma Fredrick Kikkides:

    Mratibu JMAT Taifa | Taarifa Muhimu kwa Waheshimiwa Viongozi wa JMAT na Washiriki wa Matembezi ya Hiari ya Amani ya (MHA)

    Lengo kuu la Matembezi haya: Kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa amani na utulivu. Kauli Mbiu: “Uchaguzi wa AMANI Ndio Msingi wa UTULIVU Wetu.”

    2025-05-29 14:26
  • Iran na Chuo Kikuu cha St. Paul Nchini Kenya Watia Saini Makubaliano ya Ushirikiano wa Kiutamaduni + Picha

    Iran na Chuo Kikuu cha St. Paul Nchini Kenya Watia Saini Makubaliano ya Ushirikiano wa Kiutamaduni + Picha

    Lengo la makubaliano hayo ni kuimarisha uhusiano na kufungua njia kwa ushirikiano wa kina zaidi katika nyanja za kitaaluma na kiutamaduni.

    2025-05-29 13:42
  • Viongozi wa Dini wa JMAT walaani Vikali Vitendo vya Vijana wa Kenya vya Kumkosea Heshima Rais wa Tanzania, Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan

    Viongozi wa Dini wa JMAT walaani Vikali Vitendo vya Vijana wa Kenya vya Kumkosea Heshima Rais wa Tanzania, Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan

    Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa JMAT, Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, amesema matamshi na vitendo vya namna hiyo si vya kiungwana na vinatishia mshikamano na maelewano baina ya nchi jirani na marafiki.

    2025-05-29 11:18
  • Habari Pichani | Mkutano wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlulbayt (a.s) na Khalifa wa Tijaniyya katika Mji Mkuu wa Niger

    Habari Pichani | Mkutano wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlulbayt (a.s) na Khalifa wa Tijaniyya katika Mji Mkuu wa Niger

    Kulingana na Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlulbayt (as) -ABNA-, Ayatollah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlulbayt (a.s), aliyesafiri Niger kwa mwaliko wa viongozi wa kidini wa nchi hiyo, alikutana na Abubakar Shaib, Khalifa wa Tijaniyya, mjini Niamey, Mji Mkuu wa Niger katika Afrika ya Magharibi.

    2025-05-29 10:08
  • Sherehe ya Kuhitimu ya Wanafunzi wa Jamiat Al-Mustafa (s) Niger kwa Maaliko ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlulbayt (as) + Picha

    Sherehe ya Kuhitimu ya Wanafunzi wa Jamiat Al-Mustafa (s) Niger kwa Maaliko ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlulbayt (as) + Picha

    Kulingana na Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-, Sherehe ya kumaliza masomo ya Wanafunzi wa Jamiat Al-Mustafa (s), tawi la Niger ilifanyika jijini Niamey, mji mkuu wa Niger, kwa kuhudhuriwa na Ayatollah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s). Ayatollah Ramazani alisafiri kwenda Niger, nchi iliyoko Afrika Magharibi, kwa mwaliko wa viongozi wa kidini wa nchi hiyo.

    2025-05-29 09:55
  • Ripoti ya Picha | Sherehe ya Kuwavalisha Vilemba Wanafunzi wa Dini wa nchini Niger kupitia Mikono ya Ayatollah Ramezani

    Ripoti ya Picha | Sherehe ya Kuwavalisha Vilemba Wanafunzi wa Dini wa nchini Niger kupitia Mikono ya Ayatollah Ramezani

    Kulingana na Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-, Sherehe ya kuwavalisha vilemba kundi la Wanafunzi wa Dini wa tawi la Jamiat Al-Mustafa (s) nchini Niger ilifanyika kwa kuhudhuriwa na Ayatollah Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlulbayt (a.s).

    2025-05-29 09:46
  • Ziara ya Kielimu: Maktaba ya Sayyid Hakim (ra) - Iraq, Yatembelea Hawza ya Imam Swadiq (as) - Tanzania+ Picha

    Ziara ya Kielimu: Maktaba ya Sayyid Hakim (ra) - Iraq, Yatembelea Hawza ya Imam Swadiq (as) - Tanzania+ Picha

    Wakati wa ziara hiyo, wageni walikutana na wanafunzi na viongozi wa hawza, ambapo walitoa nasaha muhimu kuhusu umuhimu wa kusoma kwa bidii, kuwa na subira, uvumilivu, na unyenyekevu katika njia ya elimu ya dini.

    2025-05-29 00:53
Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s); Abna Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom