9 Oktoba 2023 - 19:17
News ID: 1399413
Shirika la Habari la Ahlul-Baiti (A.S) - ABNA - limeripoti kuwa, wakati huo huo mwezi wa Rabi'a Awwal, siku ya kuzaliwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW), kulifanyika mkutano wa Waislamu wa Afrika Mashariki katika mji wa Nairobi Kenya. Katika mkutano huu, Ayatullah Ramazani, rais wa baraza la dunia la Ahlul-Bayt (AS) alihudhuria mkutano huu kama mgeni mkuu.