Hospitali
-
Arubaini ya Imam Hussein (a.s):
Taasisi za Kijamii Nchini Tanzania: BEF na Nyota Foundation Zandaa Tukio la Uchangiaji Damu kwa Upendo na Huruma ya Kibinadamu
Tukio hili limeonesha mshikamano wa kijamii na mshikikano wa kiimani kwa kuenzi mfano wa kujitolea na ubinadamu wa Imam Hussein (a.s), na limekuwa ni ishara muhimu ya mshikamano wa Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla katika kusaidia wenzao wenye uhitaji wa Damu Mahospitalini.
-
Kuzaliwa kwa mtoto wa Kiajemi (Muiran) wa Arubaini katika Hospitali ya Zainul-Abidina (a.s) Karbala
Mama mjamzito kutoka mkoa wa Yazd, ambaye alihudhuria matembezi ya Arubaini 1446, amejifungua mtoto wake katika Hospitali ya Hadrat Sayyid Zaynul Aabidin (a.s) mjini Karbala.
-
Picha ya Kusikitisha Gaza; Mama Aliyejeruhiwa na Mtoto Akiwa na Kifuko cha Damu Mkononi!
Picha hii ya kusikitisha kutoka Gaza inaonyesha mama mmoja aliyejeruhiwa na mtoto wake ambaye amebeba kifuko cha damu mkononi. Hii ni picha ya maumivu na mateso makubwa yanayowakumba watu wasio na hatia, hasa watoto na familia zao katika maeneo ya vita.
-
Baqaei: Kushambulia hospitali ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa na uhalifu wa kivita
Akilaani shambulio la kombora la utawala haramu wa Kizayuni katika Hospitali na Kituo cha Tiba cha Farabi huko Kermanshah, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo ameandika: "Mashambulizi dhidi ya hospitali pamoja na mashambulizi katika maeneo ya makazi ya watu ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa na jinai ya kivita."
-
Shambulio baya la jeshi la Kizayuni kwenye Kliniki (Zahanati) ya Umoja wa Mataifa Kaskazini mwa Gaza
Shambulio la Wazayuni katika Zahanati moja katika Ukanda wa Gaza limepelekea kuuawa Shahidi watu kadhaa wakiwemo watoto.
-
Wapalestina 130 Wameuawa Shahidi Katika Saa 48 Zilizopita
Katika saa 48 zilizopita, Mashahidi 130 na Majeruhi 263 wamehamishiwa katika Hospitali za Ukanda wa Gaza.